Mwongozo wa biashara ya accumulator options kwenye Deriv | Deriv Blog

Fungua biashara yako ya kwanza ya Accumulator Options kwa mwongozo wetu wa hatua kwa hatua.

Timu ya Deriv · 14 Februari 2024 · 1 dak kusoma

Share
Unataka kuanza biashara ya accumulator options? Tumekuandaa kwa hatua 5 rahisi tu.

‍

Chagua instrimenti yako

Chagua moja ya Volatility indices zetu kufanya biashara ya accumulator options.

‍

Orodha ya volatility indices inayopatikana kwenye jukwaa la biashara la Deriv

‍

Chagua kiwango cha ukuwa kati ya 1%-5%

Kiwango cha juu cha ukuwa kinamaanisha hatari kubwa zaidi — na uwezekano wa faida kubwa zaidi.

‍

Kuchagua asilimia ya kiwango cha ukuwa kwa accumulators

‍

Chagua mtaji wako wa biashara

Kuanzia USD 1, hadi USD 100.

‍
Kuchagua mtaji wako wa biashara, kuanzia USD 1 hadi USD 100.

‍

Weka kiwango cha Take Profit

Linda faida zinazoweza kutokea kiotomatishi.

‍

Kuweka kiwango cha Take Profit

‍

Simamia biashara yako

Funga biashara yako kabla haijagusa vizuizi vya juu au vya chini.

‍

Kusimamia biashara zako kwenye simu

Kwa maelezo zaidi kuhusu accumulator options, tembelea tovuti yetu.

‍

Join 3M+ global traders

Open an account in minutes and start trading the world's markets — forex, stocks, indices, and more.